Kuelekea Brazil kikosi cha Ujerumani Chatajwa.
Wachezaji watatu wa Arsenal, Lukas
Podolski, Mesut Ozil na Per Mertesacker wote wamejumuishwa katika kikosi
cha Ujerumani kitakachoingia kambini kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia.
Kiungo wa Real Madrid, Sami Khedira
pia ameitwa, licha ya kwamba hajacheza tang Novemba mwaka jana sababu ya
majeruhi
Kikosi kamili cha Ujerumani ni makipa: Manuel Neuer (Bayern Munich),
Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund) na and Ron-Robert Zieler (Hannover), mabeki; Erik Durm (Borussia
Dortmund), Jerome Boateng (Bayern Munich), Kevin Grosskreutz (Borussia
Dortmund), Benedikt Howedes (Schalke), Mats Hummels (Borussia Dortmund),
Marcell Jansen (Hamburg), Philipp Lahm (Bayern Munich), Per Mertesacker
(Arsenal), Shkodran Mustafi (Sampdoria) na Marcel Schmelzer (Borussia
Dortmund).
Viungo
ni Lars Bender (Bayer
Leverkusen), Julian Draxler (Schalke), Matthias Ginter (Freiburg), Leon
Goretzka (Schalke), Mario Gotze (Bayern Munich), Andre Hahn (Augsburg), Sami
Khedira (Real Madrid), Toni Kroos (Bayern Munich), Max Meyer (Schalke), Thomas
Müller (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal) na Marco Reus (Borussia Dortmund)
wakati washambuliaji ni Lukas
Podolski (Arsenal), Andre Schurrle (Chelsea), Miroslav Klose (Lazio) na Kevin
Volland (Hoffenheim).
0 comments:
Post a Comment