Dunga amewacha wachezaji 13 kikosi cha Brazil,awaita wapya.
Kocha mpya wa Brtazil Carlos Caetano Bledorn Verri maarufu Dunga ametangaza wachezaji wapya kwenye kikosi chake.Dunga ametema wachezaji 13 katika kile kikosi kilichoshiriki kombe la dunia na kuita wengine wapya.
Kikois cha wachezaji 22 kimetajwa jana kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki dhidi ya Colombia na Ecuador.
KIKOSI KIPYA CHA BRAZIL
Makipa: Jefferson (Botafogo), Rafael (Napoli)
Mabeki: Maicon (AS Roma), Filipe Luis (Chelsea), Alex Sandro (FC Porto), Danilo (FC Porto), David Luiz (Paris Saint-Germain), Marquinhos (Paris Saint-Germain), Gil (Corinthians), Miranda (Atletico Madrid)
Voungo: Fernandinho (Manchester City), Luiz Gustavo (VfL Wolfsburg), Elias (Corinthians), Ramires (Chelsea), Everton Ribeiro (Cruzeiro), Ricardo Goulart (Cruzeiro), Oscar (Chelsea), Willian (Chelsea), Philippe Coutinho (Liverpool)
Washambuliaji: Hulk (Zenit St Petersburg), Neymar (FC Barcelona), Diego Tardelli (Atletico Mineiro)
0 comments:
Post a Comment