Tanzania yaporomoka viwango FIFA,Ujerumani ya kwanza,Siera Leone tishio.
Shirikisho la soka duniani FIFA limetangaza ubora wa nchi wanachama wake katika viwango vya FIFA kwa mwezi Agosti.Katika viwango hivyo Tanzania imeporomoka kutoka nafasi ya 106 katika mwezi Julai hadi ya 110 huku ikiwa ya 32 barani Afrika.
Katika viwango hivyo vilivyotangazwa leo (Agosti 14 ni kwamba Siera Leone imepanda nafasi 14 juu zaidi na kushika nafasi ya 50 na kuingia kwenye rekodi ya timu 50 bora za dunia,kwa Afrika wanashika nafasi ya 7.
Algeria bado inaongoza kwa upande wa Afrika ikiwa ya 24 duniani.
Ubora barani Afrika,kwenye braketi ni kwa ubora duniani.
1. Algeria (24)
2. Ivory Coast (25)
3. Nigeria (33)
4. Ghana (36)
5. Egypt (38)
6. Tunisia (42)
7. Sierra Leone (50)
8. Cameroon (54)
9. Burkina Faso (58)
10. Senegal (59)
Duniani kwa ujumla Ujerumani bado wanaongoza wakifuatiwa na Argentina,Uholanzi,Colombia na Ubelgiji.
1.Ujerumani | ||||||
2 | Argentina | |||||
3 | Uholanzi | |||||
4 | Colombia | |||||
5 | Ubelgiji | |||||
6 | Uruguay | |||||
7 | Hispania | |||||
7 | Brazil | |||||
9 | Switzerland | |||||
10 | Ufaransa | |||||
11 | Ureno | |||||
12 | Chile | |||||
13 | Ugiriki | |||||
14 | Italy | |||||
15 | Costa Rica |
0 comments:
Post a Comment