Monday, 6 April 2015

Ingia hapa kuona msimamo wa EPL,leo Bingwa mtetezi anacheza na Crystal Palace.

Ligi kuu ya Uingereza imeendelea kunguruma juzi na jana kwa timu zinazoshikilia nafasi nne za juu kushinda isipokuwa Manchester City ambao hawajacheza.

City watacheza leo usiku dhidi ya Crystal Palace.

Klabu hiyo inahitaji ushindi ili kurudi katika nafasi ya pili na ikitokea wakapoteza mchezo huo wataendelea kushikilia nafasi ya nne baada ya Arsenal na Manchster United kushika nafasi ya pili na tatu.

MSIMAMO
PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Chelsea30217263263770
2Arsenal31196662323063
3Manchester United31188555282762
4Manchester City30187562283461
5Liverpool3116694536954
6Tottenham Hotspur3116695045554
7Southampton311651042222053
8Swansea City31137113739-246
9West Ham United31119114139242
10Stoke City31126133539-442
11Everton31910123942-337
12Crystal Palace3099123641-536
13Newcastle United3198143349-1635
14West Bromwich Albion3189142843-1533
15Sunderland31514122444-2029
16Hull City31610152943-1428
17Aston Villa3177172042-2228
18Burnley31511152649-2326
19Queens Park Rangers3174203555-2025
20Leicester City3057182949-2022




0 comments:

Post a Comment