Friday, 3 April 2015

Ratiba ya EPL kesho,patashika kubwa ni Arsenal na Liverpool

Ligi kuu nchini Uingereza itaendelea kunguruma kesho kwa viwanja  saba kuwaka moto.

Washika bunduki Arsenal watawaalika  Liverpool  huku Everton wakipepetana na  Southampton ,mashetani wekundu Manchester  United watakwaruzana na Aston Villa,Swansea watakabana koo na  Hull,kadhalika vinara Chelsea watatwangana na  Stoke  city.

Ratiba Jumamosi,muda ni kwa saa za TANZANIA.

ArsenalvLiverpoolEmirates Stadium14:45

West Bromwich AlbionvQueens Park RangersThe Hawthorns17:00

Swansea CityvHull CityLiberty Stadium17:00 
Manchester UnitedvAston VillaOld Trafford17:00

Leicester CityvWest Ham UnitedKing Power Stadium17:00 
EvertonvSouthamptonGoodison Park17:00 
ChelseavStoke CityStamford Bridge19:30














0 comments:

Post a Comment