Monday, 28 April 2014

Makundi ya AFCON,Stars kuanza na Zimbabwe wakifuzu watapangwa kundi la F

TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangiwa kucheza na Zimbabwe katika raundi ya pili ya mechi za mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Morocco.
Stars itaanzia nyumbani ambapo mechi ya kwanza itachezwa kati ya Mei 16 na 18 wakati ile ya marudiano itachezwa Harare kati ya Mei 30 na Juni 1 mwaka huu.
Iwapo stars itafuzu hapo itaingia katika hatua ya makundi na Imepangwa kundi la F.
Makundi yote haya hapa
Group A: Nigeria, South Africa, Sudan, Namibia/Congo/Libya/Rwanda
Group B: Mali, Algeria, Ethiopia, Sao Tome/Benin/Malawi/Chad
Group C: Burkina Faso, Angola, Liberia/Lesotho/Kenya/Comoros
Group D: Ivory Coast, Cameroon, DRC, Gambia/Seychelles/Swaziland/Sierra Leone
Group E: Ghana, Togo, Guinea,Madagascar, Uganda,Mauritania, Equatorial Guinea.
Group F: Zambia, Cape Verde, Niger, Tanzania/Zimbabwe/Mozambique/South Sudan
Group G: Tunisia, Egypt, Senegal, Burundi/Botswana/CAR/Guinea Bissau

0 comments:

Post a Comment