Monday, 23 June 2014

Algeria matumaini bado yapo,Ureno miujiza ila Ubelgiji mambo safi

Mechi ya Pili ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa huko Brazil kati ya Algeria na Korea kusini ilimalizika kwa ushindi kwa Algeria wa mabao 4—2 na kuweka matumani ya kusonga mbele.
Huu ni ushindi mzuri kwa Algeria hasa baada ya Urusi kufingwa bao 1-0 na Ubelgiji, hivyo wawakilishi hawa wa Afrika watahitaji pointi moja tu dhidi ya timu ya Urusi chini ya kocha Fabop Capello. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2468#sthash.IPzn9aeN.dpuf

Huu ni ushindi mzuri kwa Algeria hasa baada ya Urusi kufungwa bao 1-0 na Ubelgiji, hivyo wawakilishi hawa wa Afrika watahitaji pointi moja tu dhidi ya timu ya Urusi chini ya kocha Fabio Capello. 
Hadi Mapumziko Algeria walikuwa mbele kwa mabo 3-0 yaliyofungwa na Slimani, Dakika ya 26, Halliche, Dakika ya 28 na Djabou, Dakika ya 38.
Hiyo imekuwa rekodi kwa timu ya Algeria kuwa timu ya kwanza kufunga mabao mengi katika kipindi cha kwanza kwa upande wa timu za Afrika.
Son aliifungia Korea Bao Dakika ya 50 na Algeria kujibu kwa kupiga Bao lao la 4 kupitia Brahimi kwenye Dakika ya 62.
Korea walipata Bao lao la Pili Dakika ya 72 na kuifanya mchezo umalizike kwa mabao 4-2.
Algeria imeweka rekodi kuwa timu ya kwanza kutoka barani Afrika kushinda mabao manne.
Mchezo wa kwanza Urusi walifungwa bao 1-0 na Ubelgiji.
Matokeo mengine ni kwamba Silvestre Varela aliisawazishia Bao katika Dakika za Majeruhi Ureno walipotoka Sare ya 2-2 na Marekani  Jana Usiku huko Arena Amazonia Mjini Manaus Nchini Brazil kwenye Mechi ya Kundi G la Fainali za Kombe la Dunia lakini kusonga kwao kwenda Raundi ya Pili kunahitaji miujiza.
Huku Marekani wakitegemea ushindi baada ya Clint Dempsey kuwafungi hiyo.
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional

0 comments:

Post a Comment