Thursday, 26 June 2014

Breaking news;Suarez afungiwa miezi minne kutojihusisha na soka

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay na klabu ya  Liverpool Luis Alberto Suárez Díaz amefungiwa kutojihusisha na soka kwa muda wa miezi minne na kutocheza mechi 9 za mashindano ya kimataifa  baada ya kumng'ata beki wa Italia  Giorgio Chiellini siku ya jumanne katika mchezo kati ya timu hizo kukamilisha hatua ya makundi kombe la dunia.
Hiyo ilikuja baada ya shirikisho la soka la Uruguaya kupewa saa 24 ili kujieleza huku FIFA walikuwa wanaendelea na uchunguzi wao.
 Uruguay ilishinda bao 1-0.
Habari zaidi zitafuata hapahapa Sports4lifetz

0 comments:

Post a Comment