Kumi bora ya wachezaji waliofunga mabao ya mapema kombe la dunia.
Mshambuliaji wa Marekani, Clint Dempsey jana amefunga bao ambalo linaingia nafasi ya tano katika orodha ya mabao ya mapema zaidi kwenye historia ya Kombe la Dunia.Mshambuliaji huyo wa zamani wa Fulham na Tottenham alifunga bao dekunde ya 29 tu jana, Marekani ikishinda 2-1 mchezo huo wa Kundi G mjini Natal, Brazil dhidi ya Ghana.
MABAO YA MAPEMA ZAIDI KOMBE LA DUNIA
Hakan Sukur wa Uturuki (2002): sekunde ya 11 dhidi ya Korea Kusini
Vaclav Masek wa Czech (1962): sekunde ya 16 Mexico
Ernst Lehner wa Ujerumani (1934): sekunde ya 25 dhidi ya Austria
Bryan Robson wa Uingereza (1982): sekunde ya 27 dhidi ya Ufaransa
Clint Dempsey wa Marekani (2014): sekunde ya 29 dhidi ya Ghana
Bernard Lacombe wa Ufaransa (1978): sekunde ya 30 dhidi ya Italia
Emile Veinante wa Ufaransa (1938): sekunde ya 35 dhidi ys Ubelgiji
Arne Nyberg wa Sweden (1938): sekunde ya 35 dhidi ya Hungary
Florian Albert wa Hungary (1962): sekunde ya 50 dhidi ya Bulgaria
Adalbert Desu wa Romani (1930): sekunde ya 50 dhidi ya Peru
0 comments:
Post a Comment