Tuesday, 17 June 2014

Matokeo na Ratiba ya kombe la dunia leo mpaka ijumaa

Michuano ya kombe la dunia yameendelea kurindima jana ambapo Iran na Nigeria zimetoka 0-0  huko Arena da Baixada Jijini Curitiba Nchini Brazil katika Mechi ya Kundi F la Fainali za Kombe la Dunia na hii ndio Droo ya kwanza ya Mashindano haya tangu yaanze Juni 12.
John Brooks alifunga Bao la Kichwa Dakika 4 kabla Mpira kumalizika na kuipa USA ushindi wa mabao 2-1 kwenye Mechi ya Kundi G iliyochezwa huko Estadio das Dunas Jijini Natal Nchini Brazil.
USA walitangulia kupata Bao Sekunde ya 29 tu, hili likiwa ni Goli la 5 la mapema kwenye Historia ya Kombe la Dunia, alilofunga Clint Demsey, Mchezaji wa zamani wa Fulham.
Andre Ayew aliisawazishia Ghana Dakika ya 82 baada kupokea Pasi ya Kisigino ya Asamoah Gyan.
Mchezo wa kwanza hiyo jana mshambuliaji Thomas Muller  huko Arena Fonte Nova Jijini Salvador, Brazil, alifunga mabao 3 na kuisaidia Nchi yake kuizamisha kwamabao  4-0 Ureno ambayo ilicheza pungufu kwa wachezaji 10 kuanzia Dakika ya 37 baada ya Pepe kupewa Kadi Nyekundu.
Mats Hummels alifunga  Dakika ya 32.
Ratiba kuanzia leo mpaka  Ijumaa.muda kwa saa za Tanzania
JUMANNE, JUNI 17, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Algeria
H
Estadio Mineirão
2200
Brazil v Mexico
A
Estadio Castelão
0100
Russia v South Korea
H
Arena Pantanal
JUMATANO, JUNI 18, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Netherlands
B
Estadio Beira-Rio
2200
Spain v Chile
B
Estadio do Maracanã
0100
Cameroon v Croatia
A
Arena Amazonia
ALHAMISI, JUNI 19, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Colombia v Ivory Coast
C
Nacional
2200
Uruguay v England
D
Arena Corinthians
0100
Japan v Greece
C
Estadio das Dunas
IJUMAA, JUNI 20, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy v Costa Rica
D
Arena Pernambuco
2200
Switzerland v France
E
Arena Fonte Nova
0100
Honduras v Ecuador
E
Arena da Baixada

0 comments:

Post a Comment