Wednesday, 25 June 2014

Ratiba ya Raundi ya pili mtoano Kombe la dunia

Michuano ya kombe la dunia inaelekea kumalizika kwenye hatua ya makundi.
Baadhi ya timu zimeshafanikiwa kutinga hatua ya 16 bora huku nyingine zikiwa bado zinasubiri kucheza mzunguko wa tatu wa makundi ndipo zitafahamu hatma ya kusonga mbele au kurudi nyumbani.
Timu nyingine zitacheza leo
JUMATANO, JUNI 25, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Nigeria v Argentina
F
Estadio Beira-Rio
1900
Bosnia-Herzegovina v Iran
F
Arena Fonte Nova
2300
Honduras v Switzerland
E
Arena Amazonia
2300
Ecuador v France
E
Estadio do Maracanã
Wenyeji Brazil waliongoza Kundi A na kufanikiwa kusonga mbele kwa hatua inayofuata wakiziongoza timu kadhaa kutoka katika makundi manne ya mwanzo.
Ifuatayo ni ratiba ya michezo ya hatua ya 16 bora huku baadhi ya timu zikiwa zimeshatinga hatua hiyo:
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
49
Brazil v Chile
Mineirão
Belo Horizonte
2300
50
Colombia v Uruguay
Maracanã
Rio de Janeiro
JUMAPILI, JUNI 29, 2014
SAA
MECHI NA
MECHI
UWANJA
MJI
1900
51
Netherlands v Mexico
Castelao
Fortaleza
2300
52
Costa Rica v Ugiriki
Pernambuco
Recife

0 comments:

Post a Comment