Monday, 21 July 2014

John Cena hana mpinzani,angalia picha alivyowagaragaza wanaume watatu.

Mwanamieleka John Cena amebeba ubingwa wa juu duniani katika mieleka yaani  WWE World Heavyweight Championship mchezo uliopewa jina la Fatal 4-Way.
John Cena alibeba ubingwa huo Juni 29 lakini alipewa mchezo huu ili kutetea ubingwa wake.
Mchezo huo uliopigwa usiku wa kuamkia leo(Julai 20)ulikuwa na upinzani wa hali ya juu huku Cena akiwapiga  Kane, Randy Orton na Roman Reigns.
Angalia picha mwanzo mwisho.

Randy Orton wa kwanza kuingia uwanjani.
Seth Rolins naye anaingia uwanjani.

Kane anaingia uwanjani.

John Cena mwenye ubingwa hapo kabla anaingia uwanjani.

Cena akimtoa nje Randy Orton

Rolins akijaribu kumpiga Randy Orton.

Kane na Randy wakijaribu kumdhibiti Rolins aliyepaa hewani

Randy na Kane wakimpigiza chini Rolins

U cant Se me........John Cena akijaribu kumpiga Randy paji la uso

Rolins na Randy wakimdhibiti Cena

Rolins akieelekea kuharibu hesabu za Kane

Zamu ya Randy kuwadhibiti Rolins na Cena

Randy Orton akila teke la usoni kutoka kwa Kane

Kane akidhibitiwa na Rolins

Cena akimpigiza Rolins jukwaani

Rolins naye akijibu mapigo kwa Cena

Cena alifanikiwa kumtoa Rolins nje ya ulingo

Randy Orton alionja joto la meza,Rolins ndiye aliyemrusha mezani

Rolins akiendelea kumdhibiti Randy Orton

Randy na Rolins Hoi baada ya kutoshana nguvu

Cena akiharibu hesabio la refa baada ya Rolins kumzidi Kane

Kane akijiandaa kumweka chini Rolins huku akishikwa koo

Rolins alikubali kupigwa roba la ukweli

Rollins na Cena wakioneshana umwamba

Randy Orton alifanikiwa kumpiga RKO Rolins

Hatimaye John Cena ndiye bingwa kwa mara nyingine akitetea taji lake

Baada ya Cena kushinda Seth Rollins haamini kilichotokea.

Matokeo mengine
Chris Jericho alimpiga Bray Wyatt
Seth Rollins amemshinda  Dean Ambrose

Rusev amempiga  Jack Swagger

Bingwa wa Divas  AJ Lee ameshinda mbele ya  Paige

Mabingwa wa muungano bora akina  Usos wameshinda mbele ya  The Wyatt Family

Adam Rose amemshinda  Fandango

0 comments:

Post a Comment