Sunday, 24 August 2014

EPL Manchester United na Sunderland,angalia msimamo mpaka sasa.

Baada ya jana (Agosti 23)Ligi kuu nchini Uingereza,EPL Kuendelea na kushuhudiwa Chelsea ikiwa kileleni baada ya kuifunga Leicester mabao 2-0,leo katika viwanja vitatu  kutakuwa na michezo.
Mabingwa wa zamani Manchester United walioanza ligi kwa kichapo watacheza  na Sunderland.
Manchester United itaanza kumtumia mchezaji wao mpya aliyesajiliwa juzi akitokea Sporting Lisbon,Marcos Rojo.
Wakati klabu hiyo inakaribia kumnasa winga wa Real Madrid Ángel Fabián Di María Hernández kwa uhamisho ambao utavunja rekodi ndani ya Old traford.
Mchezaji huyo mwenye miaka 26 ni mchezaji ambaye aliwindwa sana na klabu hiyo inayofundishwa na mholanzi Louis Van Gaal.
Mtandao wa skysports na goal.com umeeleza kuwa  Di Maria atasajiliwa kwa kiasi kati ya 60-70 million sawa na  Euros (£48-56m) .Taarifa zinadai kuwa Di Maria amekubali dili hiyo na mazungumzo yanaendelea na atakwenda Old traford wiki ijayo.

Ratiba
Jumapili Agosti 24 2014.muda kwa saa za Tanzani
Hull City v Stoke City The KC Stadium 15:30
Tottenham Hotspur v Queens Park Rangers White Hart Lane 15:30
Sunderland v Manchester United Stadium of Light 18:00

Huu ndio msimamo baada ya michezo ya Jana(Agosti 23)

TimuPWDLGFGAGDPts
1Chelsea22005146
2Swansea City22003126
3Arsenal21104314
4Aston Villa21101014
5Manchester City11002023
6West Ham United21013213
7Liverpool11002113
8Hull City11001013
9Tottenham Hotspur11001013
10Everton20204402
11West Bromwich Albion20202202
12Sunderland10102201
13Southampton201112-11
14Leicester City201124-21
15Newcastle United201102-21
16Manchester United100112-10
17Queens Park Rangers100101-10
18Stoke City100101-10
19Crystal Palace200225-30
20Burnley200214-30

0 comments:

Post a Comment