Tuesday, 12 August 2014

Warsaw imekata rufaa baada ya kufutwa na UEFA.

Klabu ya Legia Warsaw imekata rufaa baada ya kutolewa katika mashindano ya Ulaya  baada ya kumtumia mchezaji ambaye hakustahili kucheza.
Legia imefutwa kucheza ingawa waliibamiza Celtic 6-1 katika michezo ya mikondo miwili baada ya kumtumia  Bartosz Bereszynski.
Uefa iliipa ushindi wa mabao 3-0 Celtic na kwa matokea hayo Celtic imefuzu kwa jumla ya mabao 4-4.

0 comments:

Post a Comment