Tuesday, 12 August 2014

Madrid na Sevila kucheza leo UEFA Super Cup.

Leo hii(Agosti 12) kuna baadhi ya michezo mikubwa kupigwa barani ulaya ambapo klabu ya bingwa ulaya kwa upande wa vilabu  Real Madrid itacheza na mabingwa wa  Europa  Sevilla katika kugombea UEFA Suoer Cup.
Mchezo huo utapigwa  uwanja wa Cardiff saa 2 dakika 45 usiku.
Mabingwa wa zamani wa Uingereza Manchester United watacheza na Valencia mchezo wa kirafiki uwanja wa Old Trafford na huo utakuwa mchezo wa kwanza kwa kocha mkuu Louis van Gaal timu ikicheza uwanja wa nyumbani.
Mchezo utapigwa saa 2 dakika 45 usiku.

0 comments:

Post a Comment