Droo ya Capital One Manchester City na Newcastle,Liverpool na Swansea.
Baada ya matokeo ya michezo ya kombe la Capital One raundi ya Tatu kumalizika usiku wa kuamkia leo ,droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 imefanyika .Katika droo hiyo Liverpool itapambana na Swansea City wakati Manchester City kucheza na Newcastle.
Mechi za Raundi hii zitachezwa Wiki ya kuanzia Oktoba 27.
DROO YA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
Man City v Newcastle
Fulham v Derby
Liverpool v Swansea
MK Dons v Sheffield United
Bournemouth v West Brom
Shrewsbury v Chelsea
Tottenham v Brighton
Stoke v Southampton
Matokeo Jumatano Septemba 24
:
Burton 0 Brighton 3
Chelsea 2 Bolton 1
Man City 7 Sheffield Wednesday 0
Tottenham 3 Nottingham Forest 1
West Brom 3 Hull 2
Newcastle 3 Crystal Palace 2
0 comments:
Post a Comment