Thursday, 25 September 2014

EPL kuendelea Jumamosi hii,Liverpool na Everton,pata ratiba.

Ligi kuu soka nchini Uingereza  itaendelea  Jumamosi (Septemba 27) kwa Mechi 6 ambapo mchezo wa kwanza ni  Liverpool  na Everton,saa 8 dakika 45 alasiri.

Majira ya Saa 11 Jioni zipo Mechi 6  ikiwemo ile ya Arsenal ambao watakuwa huko Emirates kuivaa Tottenham.

Manchester United watapambana na Weat Ham United.

RATIBA....muda kwa saa za TANZANIA.
Jumamosi Septemba  27  2014
LiverpoolvEvertonAnfield14:45

Manchester UnitedvWest Ham UnitedOld Trafford17:00

SouthamptonvQueens Park RangersSt. Mary's Stadium17:00

SunderlandvSwansea CityStadium of Light17:00

Crystal PalacevLeicester CitySelhurst Park17:00

Hull CityvManchester CityThe KC Stadium17:00

ChelseavAston VillaStamford Bridge17:00

ArsenalvTottenham HotspurEmirates Stadium19:30

Jumapili Septemba 28  2014
West Bromwich AlbionvBurnleyThe Hawthorns18:00

Jumatatu Septemba  29  2014
Stoke CityvNewcastle UnitedBritannia Stadium22:00

0 comments:

Post a Comment