Kikosi cha Argentina chatajwa kucheza na Brazil.
Kocha wa timu ya taifa ya Argentina, Gerardo Martino,ametaja Kikosi chake cha kuivaa Brazil Mwezi ujao.Martino alitangaza Kikosi cha Wachezaji 19 kitakachocheza Mechi ya Kirafiki na Mahasimu wao Brazil huko Beijing, China hapo Oktoba 11 katika uwanja wa Bird’s Nest
Lakini tofauti na matarajio ya wengi,mshambuliaji wa klabu ya Juventus Carlos Tevez ambaye ameonekana kuimarika zaidi hajaitwa.
KIKOSI KAMILI:
Makipa: Sergio Romero (Sampdoria) Nahuel Guzman (Tigres )
Walinzi: Mateo Musacchio (Villarreal), Pablo Zabaleta (Manchester City/), Martin Demichelis (Manchester City), Marcos Rojo (Manchester United), Santiago Vergini (Sunderland), Federico Fernandez (Swansea City)
Viungo: Javier Mascherano (Barcelona), Lucas Biglia (Lazio), Javier Pastore (Paris Saint-Germain), Roberto Pereyra (Juventus), Angel Di Maria (Manchester United), Erik Lamela (Tottenham Hotspur), Enzo Perez (Benfica), Nicolas Gaitan (Benfica)
Washambuliaji: Lionel Messi (Barcelona), Sergio Agüero (Manchester City), Gonzalo Higuain (Napoli).

0 comments:
Post a Comment