Saturday, 20 September 2014

Ratiba ya EPL,Manchester City na Chelsea ni kesho jumapili.

Ligi kuu soka nchini Uingereza  inaendelea leo Jumamosi kwa Mechi 6 ambapo mchezo wa kwanza ni QPR na Stoke City na Arsenal na Liverpool kucheza baadaye Mechi zao za Ugenini.

QPR wako kwao kucheza na Stoke City kuanzia Saa 8 Dakika 45 Mchana na Saa 11 Jioni zipoMechi 4 ikiwemo ile ya Arsenal ambao watakuwa huko Villa Park kuivaa Aston Villa ambao wako Nafasi ya Pili huku Arsenal wakiwa Nafasi ya 8 kwa kushinda Mechi 1 tu na Sare 3.

Kuelekea mchezo huo kocha  wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amesema Mathieu Debuchy atakaa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita kutokana na majeruhi ya kifundo cha mguu.

Beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa ambaye alitolewa nje kwa machela katika mchezo dhidi ya Manchester City Jumamosi iliyopita anaweza kukosekana kwa miezi mitatu kama itahitajika kufanyiwa upasuaji.

RATIBA
Jumamosi Septemba 20  2014
Queens Park RangersvStoke CityLoftus Road Stadium14:45

BurnleyvSunderlandTurf Moor17:00

Newcastle UnitedvHull CitySt. James' Park17:00

Aston VillavArsenalVilla Park17:00

Swansea CityvSouthamptonLiberty Stadium17:00

West Ham UnitedvLiverpoolBoleyn Ground19:30

Jumapili Septemba 21  2014
Leicester CityvManchester UnitedKing Power Stadium14:30

Tottenham HotspurvWest Bromwich AlbionWhite Hart Lane14:30

Manchester CityvChelseaEtihad Stadium17:00

EvertonvCrystal PalaceGoodison Park17:00

Jumamosi Septemba  27  2014
LiverpoolvEvertonAnfield14:45

Manchester UnitedvWest Ham UnitedOld Trafford17:00

SouthamptonvQueens Park RangersSt. Mary's Stadium17:00

SunderlandvSwansea CityStadium of Light17:00

Crystal PalacevLeicester CitySelhurst Park17:00

Hull CityvManchester CityThe KC Stadium17:00

ChelseavAston VillaStamford Bridge17:00

ArsenalvTottenham HotspurEmirates Stadium19:30

Jumapili Septemba 28  2014
West Bromwich AlbionvBurnleyThe Hawthorns18:00

Jumatatu Septemba  29  2014
Stoke CityvNewcastle UnitedBritannia Stadium22:00

0 comments:

Post a Comment