Wednesday, 3 September 2014

Ratiba ya michezo ya kirafiki leo,Argentina na Ujerumani.

Nchi kadhaa zitacheza Mechi za Kimataifa za Kirafiki leo Jumatano Septemba 3 kwenye Siku ya Kalenda ya FIFA.

Mchezo ambao unasubiriwa ni ule kati ya Ujerumani na Argentina utakayochezwa huko
Mjini Düsseldorf, Nchini ujerumani na hii ni kama Marudiano ya Fainali ya Kombe la Dunia waliyocheza huko Brazil hapo Julai 13 na Ujerumani  kutwaa Ubingwa wa Dunia baada ya kuifunga Argentina Bao 1-0.

Kuelekea mchezo huo nahodha wa Argentina Lionel Messi hatacheza kutokana na maumivu aliyopata katika michezo ya La Liga dhidi ya Villareal ambapo Baka ilishinda bao 1-0.
RATIBA YA MICHEZO YA KIRAFIKI SEPTEMBA 3,MUDA SAA ZA TANZANIA




Russia V Azerbaijan
18:00
Lithuania V United Arab Emirates
19:30
Ukraine V Moldova
20:00
Latvia V Armenia
20:45
Denmark V Turkey
21:00
Czech Rep. V USA
21:15
Germany V Argentina
21:45
R. of Ireland V Oman
21:45
England V Norway
22:00

0 comments:

Post a Comment