Ratiba ya UEFA jumatano
Michezo ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itaendelea tena leo katika viwanja vinane ambapo klabu ya Chelsea inayoongoza ligi ya Uingereza itakuwa kwao kucheza dhidi ya Schalke 04 ya Ujerumani.Barcelona wao watacheza na APOEL Nicosia katika uwanja wa Nou Camp.
MATOKEO YA JANA
Jumanne Septemba 16
KUNDI A
Juvsentus 2 Malmö FF 0
Olympiakos 3 Atlético Madrid 2
KUNDI B
Liverpool 2 Ludogorets Razgrad 1
Real Madrid 5 FC Basel 1
KUNDI C
Benfica 0 Zenit St Petersburg 2
Monaco 1 Bayer 04 Levserkusen 0
KUNDI D
Borussia Dortmund 2 Arsenal 0
Galatasaray 1 RSC Anderlecht 1
RATIBA
Jumatano Septemba17 2014....muda ni kwa saa za Tanzania.
0 comments:
Post a Comment