Monday, 1 September 2014

Yanga yatangaza kamati nyingine tatu.

Klabu ya Yanga ya Dar es salaam jana imetangaza kamati nyingine tatu na katika kamati hiyo jina la Bin Kleb likionekana tena.
Kamati hizo ni kama zifuatazo.
1) KAMATI YA UFUNDI
Wajumbe:
 1)  Duduma, Nassoro
 2)  Lamlembe, Roger
 3)  Malulu, Pascal
 4)  Msolla, Peter
 5)  Zangira, Steve

2) KAMATI YA SOKA YA VIJANA NA WANAWAKE
Wajumbe:
1) Katwila, Shaban
2) Kabisa, Jessica (Advocate)
3) Mazwile, Isack
4) Mwita, George
5) Tembele, Ally Mayay

3) KAMATI YA MASHINDANO
Wajumbe:
1)  Cheyo, Magembe     
2)  Didi, Ibrahim                 
3)  Hussein, Ndama Risasi     
4)  Katabalo, Moses            
5)  Katunzi, Mudhamiri       
6)  Kihanga, Pascal
7)  Kingo, Ray Shauri
8)  Kleb, Abdallah Bin
9)  Luhago, David
10) Lukumay, Samwel
11) Macha, Innocent
12) Maige, Jackson
13) Mahende, Mugaya  
14) Makay, Sule      
15) Malebo, Michael 
16) Malume, Paul
17) Matata
18) Mbise, Anandumi Timothy
19) Mlangwa, David
20)  Mogha, John 
21) Mutaboyerwa, Joseph John
22) Ntimizi, Said
23) Nyambaya, Lameck
24) Nyika, Hussein
25) Nyumbamkaly,
26) Ramadhan, Fulgence
27) Rashid, Ahmed   
28) Suleman, Majid   
29) Tenga, Frank 
30) Tindwa, Beda
31) Zakaria, Dr.     
  
Ifahamike kwamba, kutakuwa na nyongeza ya uteuzi wa Wajumbe wengine wa Kamatiza YANGA zilizotajwa hapo juu.
Ndugu Seif Ahmed na Engineer Isaac Chanji Wajumbe Wenza wa Kamati ya Utendaji ya YANGA (Maendelo ya Michezo) watakuwa Wenyekiti Wenza wa Kamati zilizotajwa hapo juu.
Kamati ya Utendaji ya YANGA, ina karibisha Wajumbe waliotajwa katika Kamati zilizotajwa hapo juu kwa dhamira njema kuwa watasaidia kujenga YANGA bora, na wanaomba ushirikiano kutoka kwa wanaYanga wote ili Wajumbe walioteuliwa waweze ketenda kazi zao vyema kwa manufaa ya YANGA.

0 comments:

Post a Comment