Kikosi cha mwisho cha Uruguay,Suarez ndani
Kocha wa Uruguay Oscar Tabarez amemjumuisha Mshambuliaji Luis Suarez wa Liverpool ambaye ana majeraha katika kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23- kabla ya kipute kombe la dunia kuanza hapo June 12.Suarez, hakucheza katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Northern Ireland.
Kikosi kamili:
Makipa: Fernando Muslera (Galatasaray), Martin Silva (Vasco da Gama), Rodrigo Munoz (Libertad)
Walinzi: Maximiliano Pereira (Benfica), Diego Lugano (West Bromwich Albion), Diego Godin, Jose Maria Gimenez (both Atletico Madrid), Sebastian Coates (Liverpool), Martin Caceres (Juventus), Jorge Fucile (Porto)
Viungo: Alvaro Gonzalez (Lazio), Alvaro Pereira (Sao Paulo), Walter Gargano (Parma), Egidio Arevalo Rios (Morelia), Diego Perez (Bologna), Cristian Rodriguez (Atletico Madrid), Gaston Ramirez (Southampton), Nicolas Lodeiro (Botafogo)
Washambuliaji: Luis Suarez (Liverpool), Edinson Cavani (Paris St Germain), Abel Hernandez (Palermo), Diego Forlan (Cerezo Osaka), Christian Stuani (Espanyol)
0 comments:
Post a Comment