Van Gaal aweka hadharani wanaume 23 wa kwenda Brazil
Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal amewapunguza wachezaji sita ili kubakisha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia kule Brazil 2014
Kinda wa miaka 20 Terence Kongolo amejumuishwa kwenye kikosi hicho.
Mkongwe Rafael van der Vaart aliondolewa mapema wiki hii baada ya kuumia msuli wa nyama za paja katika mazoezi.
Kikosi kamili:
Makipas: Jasper Cillessen (Ajax Amsterdam), Tim Krul (Newcastle United), Michel Vorm (Swansea City)
Walinzi: Daley Blind (Ajax Amsterdam), Stefan de Vrij, Daryl Janmaat, Terence Kongolo, Bruno Martins Indi (wote kutoka Feyenoord Rotterdam), Paul Verhaegh (FC Augsburg), Ron Vlaar (Aston Villa), Joel Veltman (Ajax Amsterdam)
Viungo: Jordy Clasie (Feyenoord Rotterdam), Jonathan de Guzman (Swansea City), Nigel de Jong (AC Milan), Leroy Fer (Norwich City), Arjen Robben (Bayern Munich), Wesley Sneijder (Galatasaray), Georginio Wijnaldum (PSV Eindhoven)
Washambuliaji: Memphis Depay (PSV Eindhoven), Klaas-Jan Huntelaar (Schalke 04), Dirk Kuyt (Fenerbahce), Jeremain Lens (Dynamo Kiev), Robin van Persie (Manchester United).
0 comments:
Post a Comment