Kikosi cha Nigeria kuelekea Brazil chatajwa
Wachezaji Peter Odemwingie na Shola Ameobi wameitwa katika KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA ya Nigeia KILICHOTAJWA JANA NA Kocha Stephen Keshi,lakini kikosi hicho ni cha muda kabla ya kutajwa kwa kikosi kamili ambacho ni kwa ajili ya kujiandaa na kombe la dunia.
Wachezaji walioitwa ni pamoja na
Makipa: Vincent Enyeama (Lille FC, France); Austin Ejide (Hapoel Be'er Sheva, Israel), Daniel Akpeyi (Warri Wolves), Chigozie Agbim (Gombe United)
Walinzi: Elderson Echiejile (AS Monaco, France); Efe Ambrose (Celtic, Scotland); Godfrey Oboabona (Rizespor, Turkey); Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves); Kenneth Omeruo (Middlesbrough, England); Juwon Oshaniwa (Ashdod FC, Israel); Joseph Yobo (Norwich City, England); Kunle Odunlami (Sunshine Stars).
Viungo: John Mikel Obi (Chelsea, England); Ramon Azeez (Almeria FC, Spain); Ogenyi Onazi (SS Lazio, Italy); Joel Obi (Parma, Italy); Nnamdi Oduamadi (Varese, Italy); Ejike Uzoenyi (Enugu Rangers), Nosa Igiebor (Real Betis, Spain), Sunday Mba (CA Bastia, France), Reuben Gabriel (Waasland-Beveren, Belgium), Michael Babatunde (Volyn Lutsk, Ukraine).
Washambuliaji : Ahmed Musa (CSKA Moscow, Russia); Shola Ameobi (Newcastle United, England); Emmanuel Emenike (Fenerbahce, Turkey); Obinna Nsofor (Chievo Verona, Italy); Peter Odemwingie (Stoke City, England), Michael Uchebo (Cercle Brugge, Belgium); Victor Moses (Liverpool, England), Uche Nwofor (Heerenveen, Holland).
0 comments:
Post a Comment