Matokeo ya Mieleka jana usiku,John Cena agaragazwa, akina Batista na Triple H hoi
Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na michezo mbalimbali ya mieleka hususan Extreme Rules ambapo kwa mara nyingine kikundi cha shield kimeendelea kusumbua baada ya kuwagaragaza akina Batista,Randy Orton pamoja na Triple H ambao waliunda kikundi cha Evolution.
Matokeo mengine
Daniel Bryan alishinda kwa . Kane na kubeba ubingwa wa WWE World Heavyweight Extreme Rules
Bray Wyatt alimgaragaza John Cena katika mchezo wa Steel Cage ambapo washindani hufungiwa ndani ya ukumbi uliofungiwa nyaya.
Naye Bad News Barrett alimgaragaza Big E na kutangawza kuwa bingwa wa mabara yaani (Intercontinental Championship
Alexander Rusev alishinda mbele ya R-Truth pamoja na Xavier Woods
Vile vile Cesaro aliwafundisha nidhamu Rob Van Dam aliyeungana na Jack Swagger ( katika mchezo wa Triple Threat Elimination
Kwa upande wa akina dada Paige ambaye alitetea ubingwa wake baada ya kumchapa . Tamina Snuka kugombea ubingwa wa Divas
0 comments:
Post a Comment