Mbeya city kushiriki kombe la CECAFA BASIN
Klabu ya Mbeya City Fc imepewa nafasi na katibu mkuu wa CECAFA bwana Nicholaus Musonye kushiriki michuano ya kombe la mto Nile "CECAFA NILE BASIN CUP" yatakayofanyika Khartoom Sudan kuanzia tarehe 22/5/2014Msemaji wa klabu ya Mbeya fc Freddy Jackson amesema kuwa hii ni heshima iliyotokana na timu yao kufanya vizuri na kuleta changamoto katika tigi kuu.
Ifuatayo ni orodha ya timu zitakazoshiriki na nchi zinakotoka.
El-shandy, El-arab, Merreck. zote za Sudan
Victoria university ya Uganda
Ports ya Djibouti
Ismailia ya Misiri
Polisi ya Zanzibar
Mbeya city ya Tanzania
Polisi ya Rwanda
Fumbiue ya Burundi
A F C Leopards ya Kenya
De fence forces ya Ethiopia
El- mereck ya Sudan kusini
El-man yaSomalia
Timu hizo zitashindania Dollar 30,000.
Jackson amesema kuwa maombi ya mashabiki wa Mbeya ndio mafanikio ya timu hiyo na Musonye ameeleza kuwa mashindano hayo yatagharamikiwa na CECAFA pamoja na serikali ya Sudan
Taarifa na Freddy Jackson AFISA HABARI MCC FC.

0 comments:
Post a Comment