Wednesday, 21 May 2014

Wachezaji 10 bora wenye kasi zaidi duniani.

Hawa ni wachezaji 10 bora duniani wanaokimbia kwa kasi zaidi…. km/h maana yake ni muda  anaokimbia mchezaji husika kwa kutumia kilometa kwa saa.

10. Alexis Sanchez (Barcelona) –  anakimbia muda wa  30,1 km/h

9. Arjen Robben (Bayern Munchen) – 30,7 km/h
8. Franck Ribery (Bayern Munchen) – 30,7 km/h

7. Wayne Rooney (Manchester United) – 32,1 km/h

6. Lionel Messi (Barcelona) – 32,5 km/h

5. Cristiano Ronaldo (Real Madrid) – 33,6 km/h

4. Aaron Lennon (Tottenham) – 33,8 km/h

3. Gareth Bale (Real Madrid) – 34,7 km/h

2. Antonio Valencia (Manchester United) – 35,2 km/h

1. Theo Walcott (Arsenal) – 35,7 km/h

km/h maana yake ni muda  anaokimbia kwa kutumia kilometa kwa saa

Chanzo; mtandao huu kushirikiana na


Top10th.com

0 comments:

Post a Comment