Kikosi cha Cameroon kombe la dunia Mohamadou Idrissou ameachwa.
Kocha wa timu ya taifa ya Cameroon Volker Finke amemuacha mchezaji Mohamadou Idrissou katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 kuelekea kombe la dunia nchini Brazil.
Nyota huyo mwenye miaka 34 anayechezea klabu ya Kaiserslautern kule Ujerumani alikosa mkwaju wa pelnati katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Paraguay wiki iliyopita .
Huko Brazil,Cameroon wamepangwa sambamba na wenyeji Brazil, Croatia na Mexico katika kundi la A.
Makipa: Charles Itandje (Konyaspor, Turkey), Sammy Ndjock (Fethiyespor, Turkey), Lioc Feudjou (Coton Sport)
Walinzi: Allan Nyom (Granada, Spain), Nounkeu Dany (Besiktas, Turkey), Cedric Djeugoue (Coton Sport), Aurelien Chedjou (Galatasaray, Turkey), Nicolas Nkoulou (Marseille, France), Henri Bedimo (Lyon, France), Benoit Assou-Ekotto (QPR, on loan from Tottenham, England)
Viungo: Enoh Eyong (Antalyaspor, Turkey), Jean Makoun (Rennes, France), Joel Matip (Schalke 04, Germany), Stephane Mbia (Sevilla, Spain on loan from QPR, England), Landry Nguemo (Bordeaux, France), Alexandre Song (Barcelona, Spain), Edgar Salli (Lens, France)
Washambuliaji;Benjamin Moukandjo (Nancy, France), Vincent Aboubakar (Lorient, France), Pierre Achille Webo (Fenerbahce, Turkey), Fabrice Olinga (Zulte Waregem, Belgium)
0 comments:
Post a Comment