Ratiba ya EPL Manchester City kuanza na Newcastle United
Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City watafungua ligi wakiwa ugenini kucheza na Newcastle United baada ya Ratiba kuwekwa hadharani jumatano hii.Liverpool ambo walitoa upinzani mkubwa mwaka huu wataanzia nyumbani kucheza na Southampton wakati Chelsea wataanza ugenini dhidi ya Burnley.
Mabingwa wa zamani Manchester United watacheza na Swansea katika uwanja wa Old Traford.
Sports4lifetz inakupatia ratiba za mwanzo kwanza.
RATIBA YA MECHI ZA EPL MSIMU WA 2014/15
Mechi za kwanza katika wiki ya Agosti 16
Arsenal v Crystal Palace
Burnley v Chelsea
Leicester City v Everton
Liverpool v Southampton
Manchester United v Swansea City
Newcastle United v Manchester City
Queens Park Rangers v Hull City
Stoke City v Aston Villa
West Bromwich Albion v Sunderland
West Ham United v Tottenham Hotspur
Jumamosi 23rd August 2014 Aston Villa V Newcastle |
|||
Chelsea
V
Leicester
|
|||
Crystal Palace
V
West Ham
|
|||
Everton
V
Arsenal
|
|||
Hull
V
Stoke
|
|||
Man City
V
Liverpool
|
|||
Southampton
V
West Brom
|
|||
Sunderland
V
Man Utd
|
|||
Swansea
V
Burnley
|
|||
Tottenham
V
QPR Jumamosi 30th August 2014 |
0 comments:
Post a Comment