Monday, 2 June 2014

Safari ya Taifa Stars,ikiwatoa tu Msumbiji kundi lao litakuwa hili hapa...Nchi 14 zilizoingia

Baada ya wikiendi  hii nchi 14 kufanikiwa kuingia hatua ya pili ya mtoano,Safari ya Tanzania itaendelea kuanzia Julai 18 ama 20 watakapocheza na Msumbiji na kurudiana Agosti 1 au 3.
Nchi 14 zitashuka dimbani na kubaki timu 7 na mshindi wa michezo ya awali na marudiano ataingia kwenye makundi na Stars wamepangwa kundi la F.
Ratiba kamili ya timu zilizoingia na watacheza na timu gani,soma hapo chini na pia makundi watakayokwenda kuingia iwapo watafuzu michezo yao ya mwisho.
Tanzania v Mozambique
Lesotho v Kenya
Uganda v Equatorial Guinea
Congo Brazzaville v Rwanda
Botswana v Guinea-Bissau
Sierra Leone v Seychelles
Benin v Malawi

Mchezo wa kwanza: July 18-20, mchezo wa pili: Aug 1-3
Muhimu: Washindi wa michezo yote miwili wataingia kwenye makundi ambayo mashindano yataanza Septemba  5 na Nov 19
AFCON 2015 MAKUNDI:

Group A : Nigeria, South Africa, Sudan, Congo/Rwanda
Group B : Mali, Algeria, Ethiopia, Benin/Malawi
Group C : Burkina Faso, Angola, Gabon, winner Lesotho/Kenya
Group D : Ivory Coast, Cameroon, DR Congo, Sierra/Seychelles
Group E : Ghana, Togo, Guinea, Uganda/Equatorial Guinea
Group F : Zambia, Cape Verde, Niger, Tanzania/Mozambique
Group G : Tunisia, Egypt, Senegal, Botswana/Guinea Bissau

0 comments:

Post a Comment