Baadhi ya wachambuzi wa soka wamechagua kikosi bora kombe la dunia 2014
Wachambuzi wa soka wa BBC Sport Alan Shearer, Chris Waddle, Rio Ferdinand na Tim Vickery wamejaribu kuunganisha vichwa vyao na kuchagua timu bora katika mashindano ya kombe la dunia mwaka 2014.
Kwa mujibu wa wachambuzi hao,kikosi kimekaa namna hii:
Manuel Neuer (Germany), Philipp Lahm
(Germany), Giancarlo Gonzalez (Costa Rica), Mats Hummels (Germany),
Daley Blind (Netherlands), Javier Mascherano (Argentina), Toni Kroos
(Germany), Arjen Robben (Netherlands), Lionel Messi (Argentina), James
Rodriguez (Colombia), Thomas Muller (Germany)
0 comments:
Post a Comment