Wednesday, 2 July 2014

Kombe la dunia,Robo fainali kuanza Julai 4

Hatua ya 16 bora kombe la dunia imemalizika jana usiku kwa Ubelgiji kuwafunga Marekani mabao  2-1 katika muda wa Nyongeza za Dakika 30 kufuatia suluhu katika Dakika 90 huko Estadio Fonte Nova Jijini Salvador.
Hii ni mara ya kwanza katika Miaka 28 kwa Ubelgiji kufika Robo Fainali ya Kombe la Dunia na Jumamosi wataivaa Argentina ambao nao walitumia Dakika 120 kuibwaga Switzerland Bao 1-0 mapema Jana kwa bao la Angel Di Maria.
Katika Dakika ya Pili tu ya muda wa Nyongeza wa Dakika 30, Kevin de Bruyne Alifunga bao la kwanza na Romelu Lukaku, alietokea Benchi, akapiga Bao la Pili Dakika 11 baadae na kuifanya Ubelgiji iongoze 2-0.
Marekani wakapata matumaini baada Julian Green kupiga Shuti lililomshinda Kipa Thibaut Courtois na mchezo kumalizika 2-1.
RATIBA YA ROBO FAINALI
IJUMAA, JULAI 4, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
France v Germany [57]
ROBO FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

2300
Brazil v Colombia [58]
ROBO FAINALI
Estadio Castelão, Fortaleza

JUMAMOSI, JULAI 5, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

1900
Argentina v Belgium [59]
ROBO FAINALI
Nacional, Brasilia

2300
Netherlands v Costa Rica [60]
ROBO FAINALI
Arena Fonte Nova, Savador

NUSU FAINALI
JUMANNE, JULAI 8, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi kati ya France v Germany v Mshindi Brazil v Colombia [61]
NUSU FAINALI
Estadio Mineirão, Belo Horizonte

JUMATANO, JULAI 9, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Mshindi kati ya Argentina v Belgium v Mshindi kati ya Uholanzi v Costa Rica [62]
NUSU FAINALI
Arena Corinthians, Sao Paulo

MSHINDI WA TATU
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2300
Aliyefungwa 61 v Aliyefungwa 62
MSHINDI WA 3
Nacional, Brasilia

FAINALI
JUMAPILI, JULAI 13, 2014

SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA

2200
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro


0 comments:

Post a Comment