Tuesday, 1 July 2014

Waliofunga mabao mengi mpaka sasa Kombe la dunia 2014

Huko Brazil michezo ya mtoana 16 bora yatamalizika hii leo huku mbio za kuwania tuzo ya mfungaji bora maarufu kama kiatu cha dhahabu Zikianza kuchukua nafasi.

Rodriguez-Colombia,akijiand kufunga bao dhidi ya Uruguay
Inavyoonekana kwa sasa Mchezaji James Rodriguez wa Colombia,Messi wa Argentina na  Neymar  wa Brazil wameanza kuzungumzwa kuwa mmojawao atabeba kiatu hicho.RODRIGUEZ  mpaka sasa ameshafunga mabao 5
RVP-Uholanzi bao dhidi ya Spain.
Wachezaji ambao wana mabao  4 kila moja ni

Thomas Muller (Germany)
Lionel Messi (Argentina)
Neymar (Brazil)
Wachezaji ambao wana mabao 3 kila moja ni
Karim Benzema (France)
Arjen Robben (Netherlands)
Shaqir-Switzeland
Robin van Persie (Netherlands)
Xherdan Shaqiri (Switzerland)
Enner Valencia (Ecuador

0 comments:

Post a Comment