Wednesday, 9 July 2014

Mandzukic kujiunga na Athletico Madrid

Nyota wa Croatia  Mario Mandzukic yuko mbioni kujiunga na klabu ya Atletico Madrid ya Hispania akitokea  klabu ya  Bayern Munich, Munich imetangaza  hii leo.
Mkurugenzi wa klabu ya Bayern  Matthias Sammer ameeleza hayo katika mkutano wa waandishi wa habari na kusema kuwa maelewano baina ya vilabu viwili yanaendelea pamoja na mchezaji
Sammer amesema kuwa  "Kuna maelewano mazuri baina ya  Bayern, Atletico Madrid na  Mario Mandzukic."

0 comments:

Post a Comment