Monday, 14 July 2014

Wachezaji wa Ujermuani kwenye picha tofauti full kuenjoy na wapenzi wao.

Sherehe za Ujerumani kubeba kombe la dunia,mwanamuziki Rihanna akiwa katikati akiwa anapokea busu kutoka kwa Lukas Podolski na Bastian Schweinsteige.Rihanna naye alikwepo uwanjani huku akisherekea ushindi wa Ujerumani.

Rihana akiwa jukwaani na alikuwa akishangilia bao la Gotze,Ujerumani 1 Argentina 0


Mchezaji wa Ujerumani  Andre Schurrle hana habari huku mpenzi wake akimbusu,,alikuwa na furaha baada ya Ujerumani yake kubeba ubingwa.
Fathy  Fischer akimpa busu la nguvu mpenzi wake Hummels.
Sam Khedira balaa kweli,,akipeana busu na mpenzi wake.

0 comments:

Post a Comment