Tuesday, 1 July 2014

Yobo na Keshi wajiuzulu

Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria Stephen  Keshi  amejiuzulu kuifundisha Nigeria baada ya kutolewa jana na Ufaransa katika fainali za kombe la dunia hatua ya 16 bora.
Super Eagles imeishia hatua ya  16 ya mashindano ya mwaka huu bada ya kufungwa  2-0 na  les Bleus yaani Ufaransa shukrani kwa Paul Pogba header na Joseph Yobo aliyejifunga katika dakika za majeruhi.

Yobo, amabaye amecheza mchezo wake wa 100 wa kimataifa  alitangaza kujiuzulu baada ya mchezo kumalizika lakini kocha wake amekataa kulizungumzia hilo.

0 comments:

Post a Comment