Thursday, 14 August 2014

Droo ya kombe la Capital One.

Droo ya Raundi ya Pili ya Kombe la Ligi, CAPITAL ONE CUP, ilifanyika Jana (Jumatano)na Manchester United wamepangwa kucheza Ugenini na MK Dons.
Raundi hii ndio imeshirikisha Klabu toka Ligi Kuu Uingereza kasoro zile zinazocheza Ulaya.
Klabu zinazocheza Ulaya, UEFA CHAMPIONZ LIGI na EUROPA LIGI, zitaanzia Raundi ijayo ya Tatu ya Mashindano haya ambayo hushirikisha Klabu za Ligi Kuu Uingereza na zile za Madaraja ya chini.
Mechi za Raundi ya Pili zitachezwa Wiki ya kuanzia Agosti 25.
Capital One Cup
DROO:
Burton v QPR
Port Vale v Cardiff City
Middlesbrough v Preston
Stoke v Portsmouth
Huddersfield v Nottingham Forest
Swansea v Rotherham
Watford v Doncaster
Millwall v Southampton
Bournemouth v Northampton
Brentford v Fulham
West Brom v Oxford
Scunthorpe v Reading
Derby v Charlton
West Ham v Sheffield United
Swindon v Brighton
Leicester v Shrewsbury
Crewe v Bolton
Birmingham v Sunderland
Gillingham v Newcastle
Norwich v Crawley
Bradford v Leeds
Aston Villa v Leyton Orient
Burnley v Sheffield Wednesday
Walsall v Crystal Palace
MK Dons v Manchester United

0 comments:

Post a Comment