Saturday, 16 August 2014

EPL Kuanza leo,Ratiba ya msimu mzima hii hapa.

Ligi kuu ya Nchini Uingereza,EPL itaanza leo (Agosti 16)katika viwanja 7 tofauti huku Timu iliyofanya vibaya mwaka jana Manchester United itacheza mchezo wa kwanza kabisa kwa kuanza na Swansea katika uwanja wa Old Traford majira ya saa 14:45 mchana.
Arsenal iliyoanza vema mwaka huu kwa kubeba ngao ya jamii itacheza na Crystal Palace kuanzia saa 19:30  usiku.
Ratiba yote iko hapo juu.
Ratiba ya leo Jumamosi 16 August 2014,muda kwa saa za Tanzania.
Manchester UnitedvSwansea CityOld Trafford14:45
Queens Park RangersvHull CityLoftus Road Stadium17:00
Leicester CityvEvertonKing Power Stadium17:00
Stoke CityvAston VillaBritannia Stadium17:00
West Bromwich AlbionvSunderlandThe Hawthorns17:00
West Ham UnitedvTottenham HotspurBoleyn Ground17:00
ArsenalvCrystal PalaceEmirates Stadium19:30   


0 comments:

Post a Comment