Monday, 25 August 2014

Manchester City na Liverpool leo saa nne usiku,msimamo mpaka sasa.

Raundi ya pili ya ligi kuu ya Uingereza inahitimishwa leo ambapo mabingwa  watetezi  Manchester City, inayofundishwa na  Manuel Pellegrini,itawaalika Liverpool, Timu ambayo Msimu uliopita ilimaliza Nafasi ya Pili.
Katika michezo zao za awali timu zote zilishinda.
Man City walianza Ugenini huko St James Park na kuifunga Newcastle mabao 2-0 na Liverpool wakiwa  Anfield  walishinda mabao 2-1 walipoifunga Southampton huku Bao la ushindi likifungwa mwishoni na Daniel Sturridge.
Kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa nne kamili usiku  Manchester City kuna uwezekano wa Edin Dzeko na Stevan Jovetic kuanza Mechi hii kwani Sergio Aguero bado hajawa fiti kucheza Mechi kwa Dakika 90 kufuatia kuwa Majeruhi.

Liverpool huenda wakawatumia wachezaji wao wapya, Kiungo wa Serbia Lazar Markovic na Beki Alberto Moreno
MSIMAMO BAADA YA MECHI ZA JANA
PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Tottenham Hotspur22005056
2Chelsea22005146
3Swansea City22003126
4Arsenal21104314
5Hull City21102114
6Aston Villa21101014
7Manchester City11002023
8West Ham United21013213
9Liverpool11002113
10Everton20204402
11Sunderland20203302
12West Bromwich Albion20202202
13Manchester United201123-11
14Southampton201112-11
15Stoke City201112-11
16Leicester City201124-21
17Newcastle United201102-21
18Crystal Palace200225-30
19Burnley200214-30
20Queens Park Rangers200205-50







































































































































































































0 comments:

Post a Comment