Neil Warnock ateuliwa kuwa kocha wa Crystal Palace.
Klabu ya Crystal Palace imemtangaz kocha Neil Warnock kuwa kocha wa klabu hiyo.
Kocha huyo aliyekuwa anafundisha soka Leeds United msimu uliopita , alitumia muda wa miaka mitatu ndani ya Selhurst Park kati ya mwaka 2007 na 2010 kabla ya kujiunga na QPR.
0 comments:
Post a Comment