Rooney atangazwa nahodha mpya Uingereza,kikosi chatajwa pia.
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson amemtangaza Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa Uingereza.
Akitangaza kikosi chake muda mfupi uliopita, Hodgson amempa majukumu hayo Rooney baada ya Gerard na Lampard kustaafu soka la kimataifa na kudai kuwa nahodha huyo mpya ana nidhamu,uzoefu pamoja na juhudi.
Kocha huyo ameeleza zaidi kuwa sababu nyingine ni kwamba Rooney ni nahodha wa Manchester United kwa hiyo ameonesha juhudi sana.
Rooney amecheza michezo 95 kwa upande wa Uingereza.amefunga mabao 40,ameshinda michezo 54 na kutengeneza mabao 17.
Kikosi kamili
Makipa: Fraser Forster (Southampton), Ben Foster (West Bromwich Albion), Joe Hart (Manchester City.
Walinzi: Leighton Baines
(Everton), Gary Cahill (Chelsea), Calum Chambers (Arsenal), Phil
Jagielka (Everton), Phil Jones (Manchester United), Danny Rose
(Tottenham Hotspur), John Stones (Everton.
Viungo: Jack Colback
(Newcastle United), Fabian Delph (Aston Villa), Jordan Henderson
(Liverpool), James Milner (Manchester City), Alex Oxlade-Chamberlain
(Arsenal) Raheem Sterling (Liverpool), Andros Townsend (Tottenham
Hotspur), Jack Wilshere (Arsenal.
Washambuliaji: Rickie Lambert (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Daniel Sturridge (Liverpool), Danny Welbeck (Manchester United)
0 comments:
Post a Comment