Sunday, 14 September 2014

Chelsea,Aston Villa na Southampton mambo safi,Man U dimbani leo.

Ligi kuu ya Uingereza iliendelea kunguruma jumamosi hii ambapo vilabu vya Newcastle,Liverpool vimeambulia Vipigo katika michezo yao huku Chelsea wakimeremeta.
Liverpool wakiwa kwao wamelazwa bao 1-0 na Villa.

Chelsea walitoka nyuma kwa Bao 1-0  katika uwanja wa  Stamford Bridge na kuifunga Swansea City mabao  4-2 huku mshambuliaji  wao hatari Diego Costa akipiga Hettriki.
Bao la 4 la Chelsea lilifungwa na Straika wao mpya Loic Remy alieanzia Benchi na hii ikiwa ni Mechi yake ya kwanza.

MATOKEO MENGINE.
Arsenal 2 Man City 2
Chelsea 4 Swansea 2
Crystal Palace 0 Burnley 0
Southampton 4 Newcastle 0
Stoke 0 Leicester 1
Sunderland 2 Tottenham 2
West Brom 0 Everton 2
Liverpool 1 Aston Villa 0

RATIBA YOTE YA MWEZI SEPTEMBA EPL MUDA KWA SAA ZA TANZANIA.
Jumapili Septemba 14  2014
Manchester UnitedvQueens Park RangersOld Trafford18:00

Jumatatu Septemba 15  2014
Hull CityvWest Ham UnitedThe KC Stadium22:00

Jumamosi Septemba 20  2014
Queens Park RangersvStoke CityLoftus Road Stadium14:45

BurnleyvSunderlandTurf Moor17:00

Newcastle UnitedvHull CitySt. James' Park17:00

Aston VillavArsenalVilla Park17:00

Swansea CityvSouthamptonLiberty Stadium17:00

West Ham UnitedvLiverpoolBoleyn Ground19:30

Jumapili Septemba 21  2014
Leicester CityvManchester UnitedKing Power Stadium14:30

Tottenham HotspurvWest Bromwich AlbionWhite Hart Lane14:30

Manchester CityvChelseaEtihad Stadium17:00

EvertonvCrystal PalaceGoodison Park17:00

Jumamosi Septemba  27  2014
LiverpoolvEvertonAnfield14:45

Manchester UnitedvWest Ham UnitedOld Trafford17:00

SouthamptonvQueens Park RangersSt. Mary's Stadium17:00

SunderlandvSwansea CityStadium of Light17:00

Crystal PalacevLeicester CitySelhurst Park17:00

Hull CityvManchester CityThe KC Stadium17:00

ChelseavAston VillaStamford Bridge17:00

ArsenalvTottenham HotspurEmirates Stadium19:30

Jumapili Septemba 28  2014
West Bromwich AlbionvBurnleyThe Hawthorns18:00

Jumatatu Septemba  29  2014
Stoke CityvNewcastle UnitedBritannia Stadium22:00
 

0 comments:

Post a Comment