Kufuzu AFCON Senegal,Afrika Kusini waanza vizuri,pata ratiba ya leo.
Timu ya taifa ya Senegal imeanza vizuri michezo ya kufuzu AFCON 2015 kutoka kundi G baada ya kuwalaza Misri mabao 2-0 kwa mabao ya Mame Diouf na Sadio Mane,mchezio uliopigwa janaKatika mechi nyingine kundi A Afrika Kusini wakicheza Mechi yao ya kwanza chini ya Kocha mpya Shakes Mashaba aliyemrithi Gordon Igesund, waliifunga Sudan mabao 3-0 Uwanjani Al Merreikh Mjini Kahrtoum.
Mabao ya Afrika kusini yalifungwa na Sibusiso Vilakazi, mabao 2, na moja la Bongani Ndulula.
Kwenye Mechi nyingine ya Kundi E, Guinea, ikicheza ‘Nyumbani’ Nchini Morocco kutokana na Nchi yao kukumbwa na Ugonjwa wa Ebola, walitoka suluhu Uwanjani Stade Mohammed V Mjini Casablanca.
RATIBA
| Jumamosi Septemba 6 2014 |
| DR Congo | v | Cameroon | |||
| Guinea | v | Togo | |||
| Burkina Faso | v | Lesotho | |||
| Ethiopia | v | Algeria | |||
| Mali | v | Malawi | |||
| Ivory Coast | v | Sierra Leone | |||
| Gabon | v | Angola | |||
| Niger | v | Cape Verde | |||
| Zambia | v | Msumbiji | |||
| Ghana | v | Uganda | |||
| Nigeria | v | Congo | |||
| Tunisia | v | Botswana |

0 comments:
Post a Comment