Saturday, 6 September 2014

Mchezo wa kirafiki Brazil yashinda kwa Colombia.

Mchezaji Neymar alifunga bao pekee la ushindi kwa upande wa timu ya Brazil ikishinda bao 1-0 dhidi ya Colombia ambao walicheza wachezaji 10 mjini Miami.
Mchezaji huyo wa klabu ya Barcelona alifunga bao  Dakika ya 82 kwa nji ya mpira wa adhabu ndogo.

Dakika ya 51 Colombia walibaki na wachezaji  10 baada ya Cuadrado kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu alipopata Kadi ya Njano ya Pili baada kumchezea Rafu Neymar.

Kwenye Kipindi hicho cha pili, Brazil ilimuingiza Mkongwe wao Robinho ambaye hajaichezea Nchi hiyo Siku nyingi.
Mchezaji wa Manchester United  Radamel Falcao ambaye hakucheza huko Brazil kwenye Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuumia Goti aliingia zikiwa zimebaki dakika 13 kwa upande wa Colombia.

Brazil watacheza Mechi nyingine ya Kirafiki huko Marekani hapo Jumatano dhidi ya Ecuador.

VIKOSI

Brazil

  • 01 Jefferson
  • 06 Filipe Luis
  • 04 David Luiz (Marquinhos - 80' )
  • 03 Miranda
  • 02 Maicon
  • 17 Luiz Gustavo Booked (Fernandinho - 45' )
  • 19 Willian (de Barros Ribeiro - 72' )
  • 11 Oscar (Coutinho - 72' )
  • 08 Ramires Booked (Mendes Trindade - 45' )
  • 10 Neymar
  • 09 Tardelli (Robinho - 77' )

Colombia

  • 01 Ospina
  • 18 Zuñiga Booked (Mejía - 73' )
  • 02 Zapata
  • 23 Valdés Booked
  • 07 Armero
  • 05 Leão Ramírez (Arias - 45' )
  • 10 Rodríguez (Falcao - 77' )
  • 06 Sánchez Booked (Ramos - 85' )
  • 11 Cuadrado Dismissed after an earlier booking
  • 21 Martínez (Guarín - 65' )
  • 19 Gutiérrez Booked (Bacca - 65' )

0 comments:

Post a Comment