Saturday, 13 September 2014

Mbeya City dimbani leo na Vipers ya Uganda.

Klabu ya Mbeya city itapambana na  Vipers FC (Zamani Bunamwaya Fc) ya Uganda  Jumamosi hii kwenye uwanja wa Sokoine.
Mchezo huo unamepangwa kuanza saa    10:00.

Vipers Fc inatarajiwa kuwasili Mbeya jioni ya leo ikitokea Entebbe kupitia  Dar Es Salaam.

Kiingilio kitakuwa Sh.3000

Hii ikiwa ni mabadiliko kutoka kiingilio  kilichotangazwa  awali cha sh.  5000.

0 comments:

Post a Comment