Ninataka kubeba ubingwa asema Van Gaal.
Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal amesema nia yake ni kubeba ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza.
"Nataka kubeba ubingwa wa ligi kuu,"alisema Van Gaal.
"kama sio mwka huu, basi itakuwa mwakani. ninataka kuwapa mashabiki ubingwa."
Michezo ya Man u siku zijazo |
---|
Sunday 21 September: Leicester |
Saturday 27 September: West Ham |
Sunday 5 October: Everton |
Monday 20 October: West Brom |
Van Gaal, ambaye alishinda mataji katika msimu wake wa kwanza akiwa Barcelona na Bayern Munich,amehakikishiwa kumaliza katika nafasi ya 3 na makamu mwenyekiti Ed Woodward.
Baada ya kufunga mabao mawili katika michezo tatu za ligi chini ya Van Gaal, Manchester Unitedilicheza vema dhidi ya QPR.
Mabao yalifungwa na Angel Di Maria na Ander Herrera ikiwa ni mabao yao ya kwanza kwa United, wakati Wayne Rooney na Juan Mata wakitikisa nyavu.
Wachezaji wapya wa Man u waliocheza jana na alama zao
Ander Herrera - 8

Daley Blind - 7

Marcos Rojo - 7

Angel Di Maria - 8

Radamel Falcao - 7

.
0 comments:
Post a Comment