Ratiba ya michezo ya kirafiki kesho,Argentina na Ujerumani.
Nchi kadhaa zitacheza Mechi za Kimataifa za Kirafiki Kesho Jumatano Septemba 3 kwenye Siku ya Kalenda ya FIFA.Mchezo ambao unasubiriwa ni ule kati ya Ujerumani na Argentina utakayochezwa huko
Mjini Düsseldorf, Nchini ujerumani na hii ni kama Marudiano ya Fainali ya Kombe la Dunia waliyocheza huko Brazil hapo Julai 13 na Ujerumani kutwaa Ubingwa wa Dunia baada ya kuifunga Argentina Bao 1-0.
RATIBA YA MICHEZO YA KIRAFI SEPTEMBA 3,MUDA SAA Z TANZANIA | |||
---|---|---|---|
Russia
V
Azerbaijan
|
18:00 | ||
Lithuania
V
United Arab Emirates
|
19:30 | ||
Ukraine
V
Moldova
|
20:00 | ||
Latvia
V
Armenia
|
20:45 | ||
Denmark
V
Turkey
|
21:00 | ||
Czech Rep.
V
USA
|
21:15 | ||
Germany
V
Argentina
|
21:45 | ||
R. of Ireland
V
Oman
|
21:45 | ||
England
V
Norway
|
22:00 |
0 comments:
Post a Comment