EPL kuendelea tena leo
Ligi kuu ya nchini Uingereza itaendelea kurindima leo baada ya kupisha michezo ya kimataifa.
Mchezo wa mapema leo ni kati ya Manchester City na Tottenham Hotspur kuanzia saa 14:45.
Wakati saa 17:00 kutakuwa na michezo mingine ila Jumapili zipo Mechi mbili moja ikiwa ya Liverpool wakiwa Ugenini kucheza na QPR.
RATIBA
Jumamosi Oktoba 18
Man City v Tottenham 14:45
Arsenal v Hull 17:00
Burnley v West Ham 17:00
Crystal Palace v Chelsea 17:00
Everton v Aston Villa 17:00
Newcastle v Leicester 17:00
Southampton v Sunderland 17:00
Jumapili Oktoba 19
QPR v Liverpool 15:30
Stoke v Swansea 18:00
Jumatatu Oktoba 20
West Brom v Man United 22:00

0 comments:
Post a Comment