Wednesday, 1 October 2014

UEFA kuendelea Jumatano hii,Athletico Madrid na Juventus.

Baada ya jana timu mbalimbali kuwa  dimbani kuwania alama tatu muhimu katika ligi ya mabingwa Ulaya,UEFA,hii leo michezo itaendelea kunguruma.










                                         MATOKEO SEPTEMBA 30


Baada ya kubamizwa 2-0 na Borussia Dortmund na pia kukabiliwa na Majeruhi kadhaa, klabu ya Arsenal  watakuwa katika uwanja wao wa Emirates kucheza na  Galatasaray.

RATIBA OCTOBA  1

Zenit St PetersburgvMonacoPetrovski Stadium19:00
ArsenalvGalatasarayEmirates Stadium21:45

Atlético de MadridvJuventusVicente Calderón21:45

FC BaselvLiverpoolSt Jakob-Park21:45

RSC AnderlechtvBorussia DortmundConstant Vanden Stock21:45

Bayer 04 LeverkusenvBenficaBayArena21:45

Ludogorets RazgradvReal MadridVasil Levski National Stadium21:45

Malmö FFvOlympiakosSwedbank Stadion21:45

0 comments:

Post a Comment